ENT CLINIC

KLINIKI YA SIKIO, PUA NA KOO

Tunawatangazia kliniki ya daktari bingwa wa Sikio, Pua na Koo ambayo itakuwa inafanyika kila Alhamisi ya kila wiki Kliniki itaanza saa 2:00 Asubuhi hadi saa 10:30 jioni.

Huduma zitakazotolewa kwenye klinic ya Masikio, Pua na Koo:

Matibabu ya matatizo ya Masikio kuuma, kutoka Usaha, Miungurumo masikioni na kutosikia, Koo kuuma, kushindwa au maumivu wakati wa kumeza, kifua kuuma au kubana, Pumu(Asthma), Mafua yasiyopona, Nyama za Puani zenye kusababisha kukoroma, Nyama za kwenye Makoo(Tonsilis), Vimbe za Shingoni(Goitre).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *