TANGAZO LA MATIBABU YA KIBINGWA
Uongozi wa Hospitali ya Songambele iliyopo katika kijiji cha Nkololo
Bariadi, unapenda kuwatangazia wakazi wote kuwa kutakuwa na ujio wa
Madaktari Bingwa. Kutakuwa na Daktari Bingwa wa Mifupa, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani (Physician) na Daktari Bingwa wa Machi kuanzia tarehe 26/10/2026 hadi tarehe 30/10/2026.
Huduma zitakazotolewa kwenye klinic ya Magonjwa va Mifupa:-
Matatizo ya Maumivu Makali ya Mgongo, Nyonga na Mifupa, Migu kuwaka Moto, Ganzi, jointi za Mifupa, Matatizo ya mivunjiko mbalimbali iliyounga vibaya au iliyoshindikana kuunga, na Migu iliyopinda (Matege).
Huduma zitakazotolewa kwenye klinic ya Macho.
Wenye matatizo ya Macho kutoa machozi, macho kuwasha, kutokuona mbali au karibu, uvimbe wa jicho, mtoto wa jicho, macho kuwa mekundu, kuhisi kuwa na mchanga kwenye mache. kushindwa kuona kwenye mwanga, macho kutoa usaha na huduma ya miwani ya kusomea
Huduma zitakazotolewa na Daktari Bingwa wa Magoniwa va Ndani ni:-
Magonjwa ya kisukari, Shinikizo la Damu (Presha), Magonjwa ya Moyo, Kiharusi (Stroke). Kifua kuuma au kubana (Pumu). Magonjwa ya Figo, Vidonda vya Tumbo, Pamoja na mengine mengi.
HUDUMA ZITATOLEWA KWA MALIPO YA PAPO KWA PAPO, PAMOJA NA BIMA ZA NHIF NA BRITAM.
MAWASILIANO 0686-031556
UONAPO TANGAZO HILI MJULISHE NA MWENZAKO NYOTE MNAKARIBISHWA.












Leave a Reply